Wakuu Taasisi za Bodi Ya Usajili wa Wahandisi(ERB), Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB)
Wakuu Taasisi za Bodi Ya Usajili wa Wahandisi(ERB), Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB)
Imewekwa: 26 Jul, 2023

Wakuu wa Taasisi za Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB), Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi, Wahandidi na Wakdiriaji Majenzi (AEQSRB) wamekutana kujadili mashirikiano ya utendaji kazi ili kukuza na kwendeleza Ushirikiano