Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi
Previous
Next
Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili Wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) Arch: Dkt Ludigija .B. Bulamile Akiwa Mgeni Rasmi wakati wa kikao cha 10 cha Baraza la wafanyakazi
Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa akiwa kwenye kikao kazi na wakuu wa Taasisi chini ya Ujenzi pamoja na wakuu wa vitengo na Wakuu wa idara katika ukumbi wa Wakadarasi jijini Dodoma
Picha ya Pamoja ya Wakuu wa Taasisi Wa Bodi Ya Usajili wa Wahandisi (ERB0, bODI YA Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) na Bodi ya Usajili wa Wasanifu majengo Wahindidi na Wakadiriaji majengo (AEQSRB)
Msajili wa ERB Eng Mansur Mohamed akizungumza na Wakuu wa Taasisi Wa Bodi Ya Usajili wa Wahandisi (ERB0, bODI YA Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) na Bodi ya Usajili wa Wasanifu majengo Wahindidi na Wakadiriaji majengo (AEQSRB) Katika Ukumbi wa ERB Dodoma.
Wakuu wa Taasisi Wa Bodi Ya Usajili wa Wahandisi (ERB0, bODI YA Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) na Bodi ya Usajili wa Wasanifu majengo Wahindidi na Wakadiriaji majengo (AEQSRB) Wamekutana kujadili ushirikiano na kukuza mazoea bora na Madili jijini Dodoma.
Muundo wa Taasisi
Mafunzo endelevu ya wataalamu wa Majenzi (CPD) 2023