Nawezaje kujisajili watalaam
Imewekwa: 28 Apr, 2023
Jinsi ya kujisajili
1.ingia katika mfumo wa kujisajili kupitia http://ors.aqrb.go.tz
2.ingia katika akaunti yako kwa kuingiza jina unalotumia pamoja na nywila yako nabonyeza kitufe ya kuingia
3.bonyeza kitufe cha kujisajili kama mtaalamu kisha jaza taarifa na uzitume