Kikao cha Maadili
Kikao cha Maadili
Afisa Maadili kutokaSekretariat ya Maadili ya Viongozi wa Umma kanda ya Kati Dodoma Bw. Alfred Mboya (Kushoto), akiongoza kiapo cha Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi katika hafla iliofanyika katika ofisi za Bodi hiyo Oktoba 07.2024 Jijini Dodoma