Mashindano ya Michezo kati ya Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi
Mashindano ya Michezo kati ya Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi
Imewekwa: 20 Oct, 2025
Mashindano ya Mpira wa Mguu kati ya Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi wakati wa Mkutano Mkuu Jijini Arusha. Wakadiriaji Majenzi walishinda mashindano haya