Uhamasishaji kwa Wanafunzi wa Sekondari masomo ya sayansi
Uhamasishaji kwa Wanafunzi wa Sekondari masomo ya sayansi
Imewekwa: 14 Feb, 2025

Wanafunzi wa kike wahamasishwa kusoma masomo ya sayansi ili kuongeza idadi ya wanasayansi wa kike ambao watasaidia kuleta mageuzi ya sayansi na teknolojia, na kupata wataalam wengi kwenye taaluma ya Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi