MKUU WA WILAYA YA DODOMA AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI
MKUU WA WILAYA YA DODOMA AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI
Imewekwa: 27 Apr, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mhe: Jabir Shekimweri akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Nane ( 8 ) wa mwaka 2023 wa Baraza la Wafanyakazi wa Bodi.