Utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa Reli jijini Daresaalam
Utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa Reli jijini Daresaalam
Imewekwa: 14 Feb, 2025

Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Usajili, Wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) Wakisikiliza kwa makini utekelezaji wa Mradi huo