Kuhuisha Daftari la Wapiga Kura
Kuhuisha Daftari la Wapiga Kura
Imewekwa: 14 Jul, 2022
![Kuhuisha Daftari la Wapiga Kura](http://aqrb.go.tz/uploads/courses/b809813929c0f22d1a2f45638feb7ac9.jpeg)
Tume inatarajia kuhuisha Daftari la Wapiga Kura mapema iwezekanavyo ikiwa ni maandalizi ya Uchaguzi mkuu wa 2025.
Katika maandalizi hayo, Tume itaandikisha wapiga kura wapya, wanaoboresha taarifa zao, waliopoteza vitambulisho na kufuta wasio na sifa.